Orodha ya vyuo vikuu Ghana
Mandhari
Hii ni orodha ya vyuo vikuu nchini Ghana.
Vyuo Vya Umma
[hariri | hariri chanzo]Kuna Vyuo vikuu vya umma saba katika nchi ya Ghana lakini pia kuna taasisi nyingine zinazotoa shahada ya kwanza na stashahada. [1][2]
- Chuo Kikuu cha Ghana, Legon
- Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Kwame Nkrumah, Kumasi
- Chuo Kikuu cha Cape Coast, Cape Coast
- Chuo Kikuu cha Elimu, Winneba
- Chuo Kikuu cha Masomo ya Maendeleo, Tamale
- Chuo Kikuu cha Teknolojia na Maswala ya Migodi, Tarkwa
- Chuo cha Mawasiliano ya Simucha Ghana, Accra
- Taasisi ya Usimamizi na Utawala wa Umma (GIMPA)
- Taasisi ya Lugha Ghana (GIL)
- Taasisi ya ya Masomo ya Biashara, Legon
- Taasis ya Uandishi wa Habari ya Ghana
- Taasisi ya Kitaifa ya Filamu na Televisheni, Accra
Vyuo vya binafsi
[hariri | hariri chanzo]- Taasisi ya Kitaifa ya Filamu na Televisheni, Accra
Vyuo vishirikishi, Vyuo vikuu vya binafsi
[hariri | hariri chanzo]Taasisi ya Kitaifa ya Filamu na Televisheni, Accra
- Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Ghana, Fiapre, Sunyani
- Chuo Kishirikishi cha Huduma ya Kikrisyo, Kumasi[3]
- Chuo Kishirikishi cha Kiisilamu cha Ghana, East Legon[4]
- Chuo Kikuu cha Methodist Ghana, Dansoman, Accra [4]
- Chuo Kishirikishi cha Kipentekosti cha Ghana, Sowutuom, Accra [4]
- Chuo Kishirikishi cha Kipresbeteri *, Abetifi-Kwahu[3]
- Chuo Kishirikishi cha Kiafrika cha Mawasiliano, Accra [4]
- Chuo Kishirikishi cha Kimataifa cha Wisconsin, Accra [4](NB - Pia kimeshirikishwa na Chuo Kikuu cha Cape Coast)
Vyuo Vishirikishi vya Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Kwame Nkrumah [3]
- Chuo Kishirikishi cha Sayansi na Teknolojia cha Regent, Accra[3]
- Chuo Kikuu cha Mataifa Yote, Koforidua [3]
Vyuo Vishirikishi vya Chuo kikuu cha Cape Coast
- Chuo Kishirikishi cha Ashesi, Labone, Accra [3]
- Chuo Kishirikishi cha Kibaptisti *, Abuakwa, Kumasi [3]
- Chuo Kishirikishi cha Central, Mataheko, Accra[3]
- Chuo Kishirikishi kikuu cha EP, Ho [5]
- Chuo Kishirikishi cha Garden City*, Kumasi [3]
- Chuo Kishirikishi cha Maranatha, Accra
- Chuo Kishirikishi cha Meridian (Insaaniyya)*[3]
- Chuo Kishirikishi cha Kikistro cha Pan African
Taasisi ya Teknolojia na Sayansi ya Karunya: Taasisi Zilizoshirikishwa kutoka India
- Chuo cha mataifa Yote, Koforidua [3]
- Chuo cha Kikistro cha Ghana
* Vyuo Vingine ambapo Majadiliano Yanaendelea
- Chuo Kishirikishi cha Teknolojia cha Kiagrikana, Accra[6][7]
- Chuo Kishirikishi cha Data Link, Tema
- Chuo Kishirikishi cha Mawasiliano ya Simu cha Ghana, Tesano, Accra[1]
- Chuo Kishirikishi cha Knutsford, East Legon, Accra.
- Taasisi ya Premier ya Utekelezaji, Usimamizi na Utawala wa Kisheria[8]
- Chuo Kishirikishi cha Masomo ya Usimamizi cha Accra na Kumasi
Asili
[hariri | hariri chanzo]- Halmashauri ya kitaifa ya kuidhinisha Vyuo Vikuu-Ghana Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Halmashauri ya kitaifa ya kuidhinisha Vyuo Vishirikishi-Ghana Ilihifadhiwa 19 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 Kwabena Dei Ofori-Attah. "Expansion of Higher Education in Ghana: Moving Beyond Tradition". Comparative & International Education Newsletter : Number 142. CIES, Florida International University. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-10-04. Iliwekwa mnamo 2007-03-09.
- ↑ "Ghana's Education System". Ghana Government. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-01-27. Iliwekwa mnamo 2007-03-06.
- ↑ 3.00 3.01 3.02 3.03 3.04 3.05 3.06 3.07 3.08 3.09 3.10 "Accredited Institutions - University Colleges". National Accreditation Board. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-19. Iliwekwa mnamo 2007-03-06.
- ↑ 4.0 4.1 4.2 4.3 4.4 "University of Ghana-Profile of the University-Institutional Affiliations". University of Ghana. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-10. Iliwekwa mnamo 2007-03-06.
- ↑ "EP University gets accreditation", Education news. Retrieved on 2008-08-01. Archived from the original on 2008-05-02.
- ↑ "Anglican University College of Technology". Official website. Anglican University College of Technology. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-24. Iliwekwa mnamo 2008-08-07.
- ↑ "Anglican University College of Technology launched", General News of Tuesday, 5 Agosti 2008, Ghana Home Page. Retrieved on 2008-08-07.
- ↑ "Ghana Inaugurates Governing Council of First Criminal Justice University". Xignite. 14 Februari 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-29. Iliwekwa mnamo 2007-04-16.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Webometrics Ranking of World Universities (Universitites nchini Ghana) - Januari 2007 Ilihifadhiwa 5 Machi 2009 kwenye Wayback Machine.
- Vyuo vikuu nchini Ghana kwa NI Daniels
- Ghana Government: Shule na Vyuo vikuu Ilihifadhiwa 23 Mei 2007 kwenye Wayback Machine.
- Wizara ya Elimu, Sayansi na Michezo, Ghana Ilihifadhiwa 27 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Ghanaweb.com: Vyuo vikuu