Nenda kwa yaliyomo

Chuo Kikuu cha Methodist Ghana

Majiranukta: 5°33′58″N 0°15′41″W / 5.56611°N 0.26139°W / 5.56611; -0.26139
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chuo Kikuu cha Methodist Ghana
PrincipalVery Rev. Prof. S.K. Agyepong
Wanafunzi1887
MahaliAccra, Greater Accra Region, Ghana
5°33′58″N 0°15′41″W / 5.56611°N 0.26139°W / 5.56611; -0.26139
Emailmucg2001@yahoo.com
AffiliationsUniversity of Ghana
Tovutiwww.mucg.edu.gh


Chuo Kikuu cha Methodist Ghana ni moja ya vyuo binafsi nchini Ghana. Kiko Mjini Accra iliyoko eneo kubwa la Accra. Ilianzishwa Oktoba 2000 na Kanisa la Methodist la Ghana baada ya kupewa ruhusa na bodi ya 'National Accreditation Board' mwezi Agosti 2000. [1] [2] Kazi ya Masomo ilianza mwezi Novemba 2000 katika kampasi ya 'Wesley Grammar School'

Mpangilio

[hariri | hariri chanzo]

Chuo kikuu kina vitivo vinne. Kila moja kina vitengo mbalimbali ambavyo huwa na vyongozi kibinafsi. [3][4]

Kitovu cha Maongozi ya Biashara

[hariri | hariri chanzo]
  • Kitengo cha Uhasibu
  • Kitengo cha Benki na Fedha
  • Kitengo cha Maongozi na Maendeleo ya wafanyikazi
  • Kitengo cha Uuzaji

Kitivo cha Masomo yasiyo bainifu

[hariri | hariri chanzo]
  • Kitengo cha Kiingereza
  • Kitengo cha Kifaransa
  • Kitengo cha Dini

Kitivo cha Masomo ya Ujamaa

[hariri | hariri chanzo]
  • Kitengo cha Uchumi
  • Kitengo cha Ujuzi na Teknologia
  • Kitengo cha Hesabu na Takwimu
  • Kitengo cha Saikologia

Kitivo cha Kilimo

[hariri | hariri chanzo]

Hiki kiko katika kampasi iliyo Wenchi. [3]

Makampasi

[hariri | hariri chanzo]

Kuna kampasi tatu.

  • Dansoman Campus - Hii ni kampasi kuu ya chuo na kiko katika kitongoji kilicho Accra.
  • Tema Campus - Kampusi ya mbali iliyoko katika majengo ya shule ya upili ya Tema Methodis Day.
  • Wenchi Campus - Masomo ya cheti ya 'Agrobusiness', 'Agroprocessing' na 'Horticulture' hufanyiwa hapa.

Mahusiano

[hariri | hariri chanzo]

Chuo huki kimehusiana rasmi na Chuo Kikuu cha Ghana tangu Oktoba 2002. [1] [2] [5]

Angalia Pia

[hariri | hariri chanzo]

Vidokezo

[hariri | hariri chanzo]
  1. 1.0 1.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named about
  2. 2.0 2.1 "Accredited Institutions - University Colleges". National Accreditation Board. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-19. Iliwekwa mnamo 2007-03-06.
  3. 3.0 3.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named mcg
  4. "Faculties of MCUG". Official Website. Methodist University College Ghana. 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-06. Iliwekwa mnamo 2007-03-15.
  5. "About Us - Profile of the University". Official Website. University of Ghana. 2005. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-02-10. Iliwekwa mnamo 2007-03-15.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]