Orodha ya mito ya mkoa wa Rumonge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Orodha ya mito ya mkoa wa Rumonge inataja kwa mpangilio wa alfabeti baadhi tu ya mito ya eneo hilo la Burundi Magharibi. Mingine imeorodheshwa pamoja na ile ya mkoa wa Bururi na ya mkoa wa Bujumbura Vijijini, ambayo mkoa wa Rumonge umetokana nayo ulipoanzishwa mwaka 2015.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Orodha ya mito ya mkoa wa Rumonge kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.