Orodha ya Marais wa Zimbabwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bendera ya Rais wa Zimbabwe

Ukarasa huu una orodha ya marais wa Zimbabwe:

Orodha[hariri | hariri chanzo]

# Jina
(miaka ya maisha)
Picha Muda wa Utawala Chama
1 Canaan Banana
1936-2003
Canaan Banana.jpg 18 Aprili 1980 31 Desemba 1987 (ZANU)
2 Robert Mugabe
1924-2019
Mugabecloseup2008.jpg 31 Desemba 1987 21 Novemba 2017 (ZANU–PF)
3 Emmerson Mnangagwa Emmerson Mnangagwa Official Portrait.jpg 21 Novemba 2017 (ZANU–PF)

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: