Canaan Banana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Canaan Banana

Canada Sodindo Banana (5 Machi 1936 - 10 Novemba 2003) alikuwa mchungaji wa Wamethodisti wa Zimbabwe, mwanatheolojia na mwanasiasa. Alikuwa Rais wa kwanza wa Zimbabwe kutoka 1980 hadi 1987[1].

Mnamo 10 Novemba 2003, Banana alifariki kwa saratani, huko London akiwa na umri wa miaka 67[2].

Maisha Binafsi[hariri | hariri chanzo]

Banana alimuoa Janet Mbuyazwe mnamo mwaka 1961.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Canaan Banana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.