Nenda kwa yaliyomo

Orie Rogo Manduli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Orie Rogo Manduli (Mary Slessor Orie Rogo, 1948 - 8 Septemba 2021) alikuwa mwanadiplomasia, mwanaharakati wa wanawake na mwanahabari wa Kenya.

Alishinda shindano la urembo la Miss Kenya mwaka 1964 na 1974, pamoja na Sylvia Omino, akiwa mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Afrika na kutoka Kenya kushiriki katika mbio za magari ya Afrika Mashariki.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Susan, Khandira (2021-09-10). "Orie Rogo Manduli: Trailblazer, Fashionista, Woman of Substance Finally Bows Out". Hakika News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-11-27.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Orie Rogo Manduli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.