Onome Ebi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Onome Ebi
Amezaliwa
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake mchezaji wa mpira wa miguu

Onome Ebi ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye kwasasa anacheza katika klabu ya FC Minsk katika Ligi Kuu ya Belarus na timu ya taifa ya Nigeria. Mwaka 2019 alikuwa mchezaji wa kwanza wa Afrika kucheza katika Mashindano 5 ya Kombe la Dunia la FIFA.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "List of Players – 2015 FIFA Women's World Cup", Fédération Internationale de Football Association. Retrieved on 2022-05-13. Archived from the original on 2016-04-10. 
  2. "Profile". FIFA.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-05. Iliwekwa mnamo 20 April 2019.  More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Onome Ebi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.