One Lagos Night (filamu)
Mandhari
(Elekezwa kutoka One Lagos Night (Filamu))
One Lagos Night ni filamu ya vichekesho na uhalifu ya 2021 kutokea Nigeria iliyoaandaliwa mjini Lagos.[1] Iliongozwa na kutayarishwa na Ekene Som Mekwunye.
Kutolewa na mapokezi
[hariri | hariri chanzo]Ilionyeshwa kwa mara ya kwanza katika Wiki ya Nollywood, Paris mnamo 10 Mei 2021. Ilikuwa ni mojawapo ya filamu 9 zilizochaguliwa rasmi kuonyeshwa katika tamasha la kimataifa la filamu ambapo ilipewa nafasi ya kuwa filamu ya kufunga tamasha katika tamasha hilo.[2] Baada ya hapo, Netflix ilipata haki za kipekee za filamu hiyo ambapo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye jukwaa hilo tarehe 29 Mei 2021.[3] Ilipata maoni mazuri kutoka kwa wakosoaji kama Filmrats.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 Isaakiayodeji (2021-06-20). "One Lagos Night is Nice and Easy". Film Rats Club (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-02-12.
- ↑ Ajao, Kunle (10 May 2021). "Movie Review: 'One Lagos Night' crowns off Nollywood Week Film Festival". Sodas And Popcorn. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-16. Iliwekwa mnamo 02 Februari 2024.
{{cite web}}
: Check date values in:|accessdate=
(help) - ↑ BellaNaija.com (2021-05-11). "Netflix acquires exclusive rights to Ekene Som Mekwunye's film "One Lagos Night"". BellaNaija (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-02-12.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu One Lagos Night (filamu) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |