Ol Doinyo Eburru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ol Doinyo Eburru ni safu ya volkeno hai yenye kimo cha mita 2,856 juu ya UB.

Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Nakuru.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]