Nenda kwa yaliyomo

Okapi (kisu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Visu vitatu vya Okapi

Okapi ni kisu cha kufuli au kisu cha kuunganisha kilichotengenezwa awali mwa mwaka 1902 kwa ajili ya kusafirishwa kwenye makoloni ya Ujerumani barani Afrika . Kisu kimepata jina hili la okapi kutokana twiga ulioko huko Afrika ya kati.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]

Visu vya Okapi hutumiwa zaidi na watu wa tabaka la wafanyakazi kwa sababu ya bei nafuu na ukali. Matumizi yanaweza kuwa kuvunia mazao, kujilinda, uwindaji, uvuvi. Visu vya Okapi ni maarufu sana maeneo ya Kusini mwa Afrika, lakini vina sifa chafu kwani vinahusishwa katika wahalifu na magenge ya mitaani. Kwa sababu ya matumizi ya Okapis na wahalifu wamepewa jina la utani la "the Saturday night special". Nchini Jamaika, ni zana na mojawapo ya "ratchet knives" vinavyobebwa na wavulana watukutu na pia hujulikana kama ''3 star ratchet." [1]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. Stephen Davis (1985). Bob Marley. Schenkman Books. uk. 49. ISBN 978-0-87047-045-5. Iliwekwa mnamo 14 Agosti 2012. The major emblem of the rudie was his ratchet, a curved German gravity knife (Okapi was a favorite brand){{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Okapi (kisu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.