Odumodu
Mandhari
Odumodu ni mtindo wa muziki ambao asili yake ni kutoka kwa watu wa Ohulu wa kikundi cha kabila la Igbo, kusini mashariki mwa Nigeria na huibwa kati ya wanaume waliokomaa. Mtindo unajumuisha vyombo vingi vya muziki wa asili ya Igbo kama vile udu na ekwe. Odumodu huangazia sauti kutoka kwa mwanaume mmoja anayeongoza kundi la waimbaji wa nyuma, mara nyingi hawa huwa pia ni wapiga vyombo. Baadhi ya wasanii maarufu wa odumodu ni pamoja na Obewe na Prince Ogewanne.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Odumodu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |