Ochungulo Family

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Makala hii inahusu mada au mtu asiyejulikana sana. Kuna mashaka kama mada inastahili kuwa na makala katika kamusi. Watumiaji wanaombwa kushiriki katika majadiliano kama makala hii inafaa kubaki au la. Tazama:Wikipedia:Umaarufu

Ochungulo Family
Asili yake Nairobi,Kenya
Aina ya muziki Pop, dance, Gengetone, pop rock
Miaka ya kazi 2017–mpaka sasa
Studio Dapstrem Entertainment,
Tovuti        =ochungulofamily.com/
Wanachama wa sasa
Nellythegoon
Benzema
Dmore

Ochungulo Family ni kundi la muziki wa Gengetone nchini Kenya lililoundwa Nairobi na Nellythegoon, Benzema na Dmore mwaka 2017. Kundi hili limepata umaarufu kwa nyimbo yao iitwayo Na Iwake.