Nenda kwa yaliyomo

Nyboma (albamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nyboma
Nyboma Cover
Studio album ya Nyboma
Imetolewa 1995
Imerekodiwa Miaka ya 1990
Aina Soukous
Lebo Syllart Records
Mtayarishaji Ibrahim Sylla
Wendo wa albamu za Nyboma
"Hommage À Emoro"
(1992)
"Nyboma (albamu)"
(1995)
"La Voix Danos Canta - Vol. 1"
(1998)


"Nyboma" ni jina la albamu iliyotoka mwaka 1995 kutoka kwa msanii wa muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Nyboma. Wimbo maarufu kutoka katika albamu ni pamoja na Maya, Lidy, Abissina, Masala na Anicet. Albamu imebeba nyimbo kumi zote zikiwa zimetayarishwa na Ibrahim Sylla kupitia Studio Harry Son ya mjini Paris, Ufaransa.

Wahusika

[hariri | hariri chanzo]
Sauti
  • Nyboma—Mwimbaji mkuu
  • Koffi Olomide—Mwimbaji mkuu katika wimbo wa Anicet na Masala
  • Djeffer Lukombo—Sauti
  • Wutu Mayi—Sauti
  • Mawali Bonane—Sauti
  • Balou Canta—Sauti katika Maya
  • Shimita—Sauti katika Maya
  • Efondja Jean Bedra—Sauti katika Maya
Vyombo
  • Dally Kimoko—Gitaa kuu
  • Kinzunga Ricos—Gitaa kuu
  • Lokassa ya Mbongo—Gitaa la kati (rizim gitaa)
  • Bepol Mansiamina—Gitaa la kati (rizim gitaa)
  • Ngouma Lokito—Gitaa zito (besi gitaa)
  • Djudju Chet—Dramzi
  • Niawou—Tumba na animesheni
  • Yendura—Animesheni


Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

Zifuatazo ni orodha kamili ya nyimbo zinapatikana katika albamu hii.

  • Anicet
  • Ina
  • Malcolm X
  • Abissina
  • Vanie
  • Maya
  • Okino
  • Masola
  • Lidy
  • Niki Bue

Viungo vya Nj

[hariri | hariri chanzo]