Nyakato
Nyakato inaweza kumaanisha
- Nyakato (Musoma) ni kata ya wilaya ya Musoma mjini katika Mkoa wa Mara, Tanzania.
- Nyakato (Ilemela) ni kata ya wilaya ya Ilemela ndani ya jiji la Mwanza, Tanzania.
- Nyakato (Bukoba) ni kata ya Wilaya ya Bukoba Vijijini - Mkoa wa Kagera - Tanzania