Nusu yabisi
Mandhari
Nusu yabisi ni neno la kawaida kwa kitu ambacho hali yake iko kati ya yabisi na kiowevu.[1][2]
Mifano
[hariri | hariri chanzo]- Jelly ya mafuta - hydrocarbon C15H15N isiyo na nguvu, inayoitwa petrolatum,
- Guacamole,
- Grisi,
- Mayonesiise,
- Siagi ya karanga,
- Dawa ya meno
- Kitakasa mikono
Angalia pia
[hariri | hariri chanzo]- Plastiki (fizikia)
- Mnato
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-09. Iliwekwa mnamo 2020-02-24.
- ↑ https://www.chemsrc.com/en/cas/8009-03-8_1198661.html
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nusu yabisi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |