Noelle Maritz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maritz mnamo 2022

Noelle Maritz (alizaliwa 23 Desemba 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uswisi ambaye anacheza kama beki wa Aston Villa ya FA WSL. Hapo awali alichezea Arsenal inayoshiriki (WSL), VfL Wolfsburg katika Bundesliga ya Ujerumani, na FC Zürich katika Nationalliga A ya Uswisi. Alizaliwa Marekani, anawakilisha Uswisi katika ngazi ya kimataifa. [1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Noelle Maritz". weltfussball.de (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2024-04-25. 
  2. "Wayback Machine". web.archive.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-08-26. Iliwekwa mnamo 2024-04-25. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Noelle Maritz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.