Nkiru Sylvanus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nkiru Sylvanus (kuzaliwa 21 Aprili,mwaka 1982)[1] ni mwigizaji na mwanasiasa kutokea nchini Nigeria. Wakati akifanya kazi kama mwigizaji, alishiriki katika filamu zaidi ya sabini pamoja na kushinda tuzo ya mwigizaji bora wa kike wa mwaka iliyotolewa na Africa Magic Viewers Choice Awards na pia alishinda mwigizaji bora katika tuzo za Africa Movie Academy Awards.[1][2][3][4]

Maisha ya awali na Elimu[hariri | hariri chanzo]

Sylvanus alizaliwa Osisioma, Aba, mji uliopo jimbo la Abia. Alisoma Ohabiam Primary and Secondary School, ambapo alipata cheti chake cha kwanza. Alijiunga na chuo kikuu cha Enugu State University of Science and Technology, akamaliza na kutunukiwa shahada ya mawasiliano ya uma.[5][6][7]

Kazi ya Uigizaji[hariri | hariri chanzo]

Akielezewa na gazeti la The Punch kama mkongwe katikza asnia ya filamu, Sylvanus alianza kazi ya uigizaji akiwa na umri wa miaka 17, mwaka 1999. Ameshiriki zaidi ya filamu 70 za nchini Nigeria.[1][8][9]

Alitajwa mara mbili (2017 & 2018) katika chapisho la nchini Nigeria The Guardian's katika nafasi ya watu mashuhuri waliotengeneza matukio.[10][11]

Siasa[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2011 Sylvanus alikua katika baraza la gavana aliepita wa jimbo la Imo bwana Rochas Okorocha kama msaidizi wake juu ya masuala ya Lagos na baadaye kuwa mshauri wake katika masuala ya mahusiano ya jamii.[12][13][14][15]

Kutekwa na kuachiwa 2012[hariri | hariri chanzo]

Sylvanus, aliyewahi kuwa msaidizi wa gavana aliyepita wa jimbo la Imo bwana Rochas Okorocha alitekwa Disemba 15, 2012 saa nane mchana kama taarifa zilivyosema. Kituo cha Vanguard kilitoa taarifa kwamba, fidia ya ₦100,000,000[7] (milioni moja kwa pesa za Nigeria) kwa kipindi hicho ni sawa na $640,000 ( dola za kimarekani laki sita, arobaini elfu) zilihitajika ili aachiwe.[16][17][18][19][20] Mnamo Disemba 21 2012 majira ya saa nne usiku vyombo vya habari nchini Nigeria vililipoti kuachiliwa kwa Sylivanus.[19]

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2014 Sylvanus aliolewa na Stanley Duru, lakini mwaka 2019, walitalakiana.[21][22][23]

Filamu zilizoteuliwa[hariri | hariri chanzo]

  • Final Tussle (2008)
  • Life Bullets (2007)
  • Fine Things (2007)
  • No More Love (2007)
  • Secret Pain (2007)
  • She Is My Sister (2007)
  • The Last Supper (2007)
  • Treasures Of Fortune (2007)
  • Alice My First Lady (2006)
  • Buried Emotion (2006)
  • Divided Attention (2006)
  • Pastor’s Blood (2006)
  • Serious Issue (2006)
  • Sweetest Goodbye (2006)
  • What A Mother (2005)
  • Dangerous Mind (2004)
  • Hope Of Glory (2004)
  • King Of The Jungle (2004)
  • My Blood (2004)
  • Queen (2004)
  • The Staff Of Odo (2004)
  • Unconditional Love (2003)
  • Egg Of Life (2003)
  • Green Snake (2003)
  • Six Problems (2003)
  • Holy Violence (2003)
  • Last Weekend (2003)
  • Onunaeyi: Seeds Of Bondage (2003)
  • The Only Hope (2003)
  • A Cry For Help (2002)
  • Love In Bondage (2002)
  • Miracle (2002)
  • Pretender (2002)
  • Unknown Mission (2002)
  • Never Come Back (2002)
  • Terrible Sin (2001)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 "Nkiru Sylvanus Bio, Age, Education, Husband, Marriage, Wedding, Career". AfricanMania (kwa en-US). 2017-06-23. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-28. Iliwekwa mnamo 2019-11-28.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. Haliwud (2016-02-02). "Photos: Veteran Nollywood Actress, Nkiru Sylvanus Flaunts Her New Look". Information Nigeria (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  3. "Veteran Actress, Nkiru Sylvanus Turns Musician, Releases Gospel Album". Within Nigeria (kwa en-US). 2018-06-07. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-28. Iliwekwa mnamo 2019-11-28.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. Obioji, Amaka (2018-06-20). "I’ve never been married, looking for a man to marry me now - Actress Nkiru Sylvanus". www.legit.ng (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  5. "The good, bad and sweet story of Nkiru Sylvanus". Vanguard News (kwa en-US). 2012-11-16. Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  6. "Nse, Nkiru Sylvanus and Ivie Okujaiye battle for AMVCA award tonight!". Vanguard News (kwa en-US). 2014-03-07. Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  7. 7.0 7.1 "Gunmen kidnap Nkiru Sylvanus, demand N100m". Vanguard News (kwa en-US). 2012-12-16. Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  8. "Nkiru Sylvanus". IMDb (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  9. "Celebrities who made headlines in 2018". guardian.ng (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  10. "Celebrities who made headlines in 2018". guardian.ng (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  11. "Celebrities that made headlines in 2017 – Part 1". guardian.ng (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  12. "Nkiru Sylvanus 'I will act in more movies this year,' actress reveals". www.pulse.ng. Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  13. Orenuga, Adenike. "Nkiru Sylvanus gets new appointment in Imo" (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  14. "Nkiru Sylvanus gets third political appointment in 3 years". Nigerian Entertainment Today (kwa en-GB). 2014-09-17. Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  15. "Actress Nkiru Sylvanus Picks Another Juicy Job In Imo". P.M. News (kwa en-US). 2014-09-17. Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  16. "Gov. Okorocha's Aide, Nkiru Sylvanus, Kidnapped In Owerri". Sahara Reporters. 2012-12-16. Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  17. "THE ABDUCTION OF NKIRU SYLVANUS IN OWERRI". www.thenigerianvoice.com. Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  18. "Kidnap of Nkiru Sylvanus".  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  19. 19.0 19.1 "Jubilation as Nkiru Sylvanus, Okoli regain freedom". Vanguard News (kwa en-US). 2012-12-20. Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  20. "Actress-Cum-Politician, Nkiru Sylvanus Abducted By Gunmen". www.thenigerianvoice.com. Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  21. Orenuga, Adenike. "Nkiru Sylvanus weds Oge Okoye’s ex-husband, Stanley Duru" (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2019-11-28. 
  22. "Oge Okoye Actress’ ex-husband reportedly marries Nkiru Sylvanus". www.pulse.ng. Iliwekwa mnamo 2019-11-29. 
  23. Falae, Vivian (2018-05-01). "Oge Okoye's ex-husband story". www.legit.ng (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-11-29.