Njabulo Ndebele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Njabulo Ndebele
Amezaliwa Njabulo Simakahle Ndebele
1948
Johannesburg, Afrika Kusini
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Mwandishi

Njabulo Ndebele (amezaliwa 4 Julai 1948 mjini Johannesburg) ni mwandishi na mhadhiri wa Afrika Kusini. Alisomea fasihi nchini Lesotho, pia Uingereza na Marekani. Pia ni mwanachama mwanzilishi wa Congress of South African Writers (COSAW).

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

  • Fools and Other Stories (1983)
  • Rediscovery of the Ordinary (insha, 1991)

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Njabulo Ndebele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.