Nisamehe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
"Nisamehe"
Kava la Nisamehe
Wimbo wa Barakah the Prince akiwa na Ali Kiba
Umetolewa 30 Septemba, 2016
Umerekodiwa 2016
Aina ya wimbo Bongo Flava
Lugha Kiswahili
Urefu 4:27
Mtunzi Barakah the Prince
Mtayarishaji Imma the Boy

Nisamehe ni wimbo uliotoka tarehe 30 Septemba, 2016 kutoka wa msanii wa muziki wa kizazi kipya wa nchini Tanzania, Barakah the Prince. Ndani ya wimbo ameshirikishwa Ali Kiba ikiwa ndiyo wimbo wa kwanza kwa Barakah kutoa tangu aingie mkataba na Rockstar 4000 na wa kwanza kufanya na Kiba. Wimbo umetayarishwa na Imma the Boy. Baraka alimleta Kiba katika wimbo kwa sababu tu ni msanii anayempenda na kumuelewa. Isitoshe alikuwa na mipango ya kufanya nae wimbo tangu zamani.[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mdundo wa Baraka na Alikiba nisamehe ulivyokuwa unatengenezwa studio Jinsi ilivyotengenezwa "Nisamehe" Ingizo la tarehe 4 Oktoba, 2017.