Nintendo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nintendo
Nembo ya Nintendo
Nembo ya Nintendo

Nintendo (kwa Kijapani: 任天堂) ni kampuni inayotengeneza michezo ya video na vitu vya kujifariji au kujiliwaza.

Mara ya kwanza, ilianza kwa kuunda kadi za kuchezea na vichezeo.

Ofisi kuu ni Kyoto, Japan. Pia wana ofisi katika mabara mengine.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nintendo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.