Nenda kwa yaliyomo

Nino Assirelli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nino Assirelli (23 Julai 192530 Juni 2018) alikuwa mpanda baiskeli wa mashindano kutoka Italia.

Alishinda hatua ya 15 ya Giro d'Italia ya mwaka 1953.[1][2]

  1. "Giro d'Italia 1953". Cycling Archives. Iliwekwa mnamo 12 Mei 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "NINO ASSIRELLI CI HA LASCIATO". tuttobiciweb. Iliwekwa mnamo 28 Julai 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nino Assirelli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.