Nenda kwa yaliyomo

Niklas Lomb

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Niklas Uwe Bernd Lomb (alizaliwa 28 Julai 1993)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama golikipa katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Niklas Uwe Bernd Lomb | Bayer 04 Leverkusen | Player Profile | Bundesliga". bundesliga.com - the official Bundesliga website (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Niklas Lomb kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.