Nenda kwa yaliyomo

Niels Bohr

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Niels Henrik David Bohr)

'

Niels Bohr
Niels Bohr (kushoto) pamoja na Albert Einstein 1925 walivyopigiwa picha na Paul Ehrenfest]]
Amezaliwa7 Oktoba 1885
Amefariki18 Novemba 1962
Kazi yakemwanafizikia kutoka nchi ya Denmark


Niels Bohr

Niels Henrik David Bohr (7 Oktoba 188518 Novemba 1962) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Denmark. Hasa alichunguza nadharia za atomu na kwanta. Mwaka wa 1922 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Mwana wake ni mwanafizikia Aage Bohr.

Tangu 1997 elementi sintetiki ya Bohri imepewa jina lake kwa heshima ya Niels Bohr.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Niels Bohr kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.