Nidze

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Nidže)
Milima ya Nidže

Nidže (au Voras) ni safu ya milima ya Balkani (Ulaya), kati ya nchi za Jamhuri ya Masedonia Kaskazini na Ugiriki.

Urefu wake ni mita 2,521 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nidze kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.