Nico Schlotterbeck
Mandhari
Nico Cedric Schlotterbeck (alizaliwa 1 Desemba 1999)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ujerumani, ambaye anacheza kama beki wa kati katika klabu ya Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Ujerumani.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce44/pdf/SquadLists-English.pdf
- ↑ "Nico Cedric Schlotterbeck | Borussia Dortmund | Player Profile | Bundesliga". bundesliga.com - the official Bundesliga website (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-28.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nico Schlotterbeck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |