Nicholas Bett
Mandhari
Nicholas Kiplagat Bett (27 Januari 1990 - 8 Agosti 2018) alikuwa mwanariadha wa Kenya aliyeshindana mbio ya mita 400 ya urukaji viunzi. Muda wake bora wa binafsi ni sekunde 47.79. Alikuwa bingwa wa dunia katika mwaka 2015 na pia alikuwa na pete za shaba mbili Michezo ya Riadha ya Afrika.
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Alizaliwa Uasin Gishu, Kenya.[1]
Bett alikufa kwa ajali ya gari Nandi Hills, Kenya 8 Agosti 2018, kwenye umri wa miaka 28.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "2018 CWG bio". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-16. Iliwekwa mnamo 26 Aprili 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Ex-world champion Nicholas Bett dies in Nandi road crash". Daily Nation. 8 Agosti 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nicholas Bett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |