Nenda kwa yaliyomo

Nguo za Kikuba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanamke wa Bakuba akishona nguo. Miongoni mwa wanaume wa Bakuba huwa wanafuma, na wanawake hufanya kazi ya kudarizi na kunakshi nguo.

Nguo za Kikuba ni nguo za pekee kwa ubunifu wa mapambo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani Zaire).

Nguo ni nyingi tofauti kwenye vipande vya mstatili au mraba vya nyuzi za majani ya mitende yaliyofumwa na kuimarishwa na miundo ya kijiometri inayofanywa kwa urembeshaji wa mistari na mishororo.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nguo za Kikuba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.