Ngome ya Beaumaris

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukuta wa nje.
Mpango wa ngome.

Ngome ya Beaumaris (Castell Biwmares kwa Kiwelisi) iko katika mji wa Beaumaris, katika kisiwa cha Anglesey, Welisi.

Ujenzi wake ulianza mwaka 1295 chini ya mbunifu wa Kisavoya Jacques de Saint-Georges.

Imeandikwa katika orodha ya Urithi wa Dunia ya UNESCO mwaka 1986.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]