Nezha Alaoui
Mandhari

Nezha Alaoui (alizaliwa Rabat, 1982) ni mjasiriamali aliyezaliwa Moroko na mwanzilishi wa chapa ya Mayshad. Pia ni mwanzilishi wa shirika lisilo la faida la Mayshad linalojiusisha na maendeleo ya vijana na wanawake.[1][2]
Maisha ya awali na elimu.
[hariri | hariri chanzo]Alaoui alipata elimu yake katika shule ya kifaransa huko Rabat aliendelea na masomo huko Tingier iliyopo Marekani[3]Baadaye alisomea elimu ya usimamizi wa ukarimu nchini Uhispania ambapo alifanya mafunzo ya ndani ya miezi sita ambayo yalimpeleka Roma, Milan na London.Alipata shahada ya biashara huko London na baadae akasomea upigaji picha huko mjini New york Marekani[4][5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mayshad Foundation website Archived 2022-04-19 at the Wayback Machine
- ↑ Join Mayshad Archived 2021-12-08 at the Wayback Machine
- ↑ LE MATIN. "La magie du désert marocain en images". Le Matin (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
- ↑ "Nezha Alaoui, la créatrice aux mille talents". femmesdumaroc (kwa Kifaransa). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-15. Iliwekwa mnamo 2022-03-01.
- ↑ Elkahlaoui, Hajar; Chafii, Simo (21 Januari 2019). "Entrepreneure et photographe : Portrait de Nezha Alaoui". Les Inspirations éco (kwa Kifaransa). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 11 Februari 2019.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nezha Alaoui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |