Nelson Abbey
Nelson Ighodaro Abbey (alizaliwa 28 Agosti 2003) ni mwanakandanda wa kulipwa raia wa Uingereza anayecheza nafasi ya beki wa kati kwenye ligi kuu nchini Ugiriki katika klabu ya Olympiacos.
Maisha kwenye Klabu
[hariri | hariri chanzo]Reading
[hariri | hariri chanzo]Tarehe 15 mwezi wa 9 mwaka 2020 Abbey alianza majukumu yake alikitoke benchi kwenye kombe la EFL dhidi ya Luton Town , timu yake ikishinda 1-0.[1] Alisaini mkataba wake wa kwanza kama mchezaji wa kulipwa tarehe 15 mwezi wa 12 mwaka 2020 mpaka msimu wa mwaka 2022.[2]
Olympiacos
[hariri | hariri chanzo]Mnamo tarehe 24 mwezi 1 mwaka 2024, Abbey aliondoka Reading na kujiunga na Olympiacos ya nchini Ugiriki kwa ada ambayo haijatajwa.[3][4]
Majukumu kwenye timu ya Taifa
[hariri | hariri chanzo]Abbey alizaliwa Uholanzi mwenye asili ya Nigeria.[5] Aliitwa kwenye kikosi cha vijana chini ya miaka 17 cha Uingereza mwezi 2 mwaka 2020.[6] Alicheza michezo mitatu alikwa na kikosi icho. [7]
Tarehe 6 mwezi wa 10 mwaka 2023 , kwa mara ya kwanza Abbey aliitwa kwenye timu ya vijana ya Uingereza chini ya umri wa miaka 20 ili kuziba nafasi ya Reuell alters.[8]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Jonathan Low (2020-09-16). "Paunovic defends team selection as Reading bow out of Carabao Cup". Berkshire Live (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-07-29.
- ↑ Reading FC (2020-12-15). "🖊️ Nelson Abbey signs professional contract". Reading FC. Iliwekwa mnamo 2024-07-29.
- ↑ Reading FC (2024-01-24). "Nelson Abbey Joins Olympiacos". Reading FC. Iliwekwa mnamo 2024-07-29.
- ↑ "Ο Νέλσον Άμπι στον Ολυμπιακό". ΟΛΥΜΠΙΑΚΟΣ - Olympiacos.org (kwa Kigiriki). 2024-01-25. Iliwekwa mnamo 2024-07-29.
- ↑ "2003-Born Center Back Eligible For Nigeria, England, Netherlands, Signs New Reading Deal | All Nigeria Soccer". www.allnigeriasoccer.com. Iliwekwa mnamo 2024-07-29.
- ↑ Reading FC (2020-02-06). "🦁 Three young Royals receive England U17 call-ups". Reading FC. Iliwekwa mnamo 2024-07-29.
- ↑ "England - N. Abbey - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-07-29.
- ↑ The Football Association. "England men's Elite League squad named". https://www.englandfootball.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-07-29.
{{cite web}}
: External link in
(help)|work=