Narumi Miura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Narumi Miura (alizaliwa 3 Julai 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa timu ya taifa ya Japani pamoja na klabu ya wanawake ya North Carolina Courage.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "FIFA Women's World Cup France 2019 – List of Players: Japan". FIFA. uk. 13. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-27. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Narumi Miura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.