Nanami Chino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nanami Chino (alizaliwa 20 Oktoba 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya Albirex Niigata inayoshiriki ligi ya WE huko japani.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Scoresheet". weleague.jp. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nanami Chino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.