Nenda kwa yaliyomo

Hospitali ya Nairobi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Nairobi Hospital)
Hospitali ya Nairobi
Geography
Location Nairobi, Nairobi, Kenya, Kenya
Organisation
Care system NHIF
Hospital type General Medical Services.
Services
Emergency department Yes
Beds >600
History
Founded 1954
Links
Website http://www.nairobihospital.org/
Lists Hospitals in Kenya

Hospitali ya Nairobi ni hospitali maarufu ya mjini Nairobi, [Kenya]]. Ilijengwa mwaka 1954 kama "European Hospital", kumaanisha ilikuwa hospitali ya wakoloni, yaani ilihudumia Wazungu pekee.

Wakati wa uhuru kwenye mwaka 1961 ikabadilishwa jina ikawa "The Nairobi Hospital" na kuwahudumia watu wote.

Inasifiwa kuwa kati ya hospitali bora za Nairobi na pia nchini Kenya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hospitali ya Nairobi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.