Nahrees

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nahrees ni mhusika wa kubuni ambaye ametengenezwa na kampuni ya kutengeneza filamu ya huko nchini Marekani ijulikanayo kama Marvel Comics. Mhusika huyu ni miongoni mwa wahusika wasiowanadamu ambaye alitumwa katika Dunia mnamo mwaka 1992.

Mhusika huyu amepewa uwezo wa kutengeneza umeme kutoka katika mwili wake.

Alihusika katika mateka wa Marekani wakati wa Vita ya Kimya. Uvamizi uliendeshwa na Fantastic Four na alitekwa na ONE.

Video-x-generic.svg Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nahrees kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.