Nadia Tromp

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nadia Tromp (amezaliwa 31 Januari 1977) ni mbunifu wa Afrika Kusini,[1]anayejulikana kwa kazi yake na usanifu wa kijamii na umma, hasa huduma za afya ndani ya mazingira ya Afrika Kusini.[2] Mwaka 2017 alikuwa mshindi wa tamasha la dunia katika kitengo cha afya kwa kliniki yake ya Westbury. Baadaye alipokea tuzo ya ubora wa mwaka 2017 kutoka GIFA (Gauteng Institute for Architecture) na tuzo ya Heshima ya 2018 kutoka SAIA (South African Institute of Architects).[3] Mwaka 2019 kampuni yake ilishinda Tuzo ya sanaa ya usanifu katika kitengo cha matumizi mchanganyiko.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nadia Tromp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. https://www.facebook.com/nadia.tromp
  2. "On Trend in Architecture: Mesh". Visi. 12 June 2018.  Check date values in: |date= (help)
  3. "Overall winners 2017". www.worldarchitecturefestival.com. 
  4. "Westbury TDC".