Nenda kwa yaliyomo

Nadia Davy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nadia Davy (alizaliwa 24 Disemba 1980) ni mwanariadha wa Jamaika ambaye alishiriki kimataifa kwa ajili ya Jamaika. Alikuwa mshindi wa medali ya shaba katika mbio za kupokezana za mita 4 x 400 kwenye Michezo ya Olimpiki ya 2004 huko Athens, Ugiriki.[1]

  1. "Nadia Davy".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nadia Davy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.