Nadharia seti
Mandhari
Nadharia ya seti ni somo la seti katika hisabati. Seti ni mkusanyo wa vitu mbalimbali vinavyoitwa memba.
Katika kuandika seti, tunafunga memba katika {mabano maua} na kuzitenganisha kwa alama ya mkato: k.mf., {1, 2, 3} inashika 1, 2 na 3; vilevile {a, b, c} inafunga a, b na c.
Kuna aina tatu za nadharia za seti, nazo ni: njia ya maneno, njia ya orodha na njia ya kanuni.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Nadharia ya seti ilibuniwa na Georg Cantor mwaka 1874, lakini ilihitaji kuboreshwa kama alivyoonyesha Bertrand Russell.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Chechulin V. L., Theory of sets with selfconsidering (foundations and some applications), Publishing by Perm State University (Russia), Perm, 2010, 100 p. ISBN 978-5-7944-1468-4
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nadharia seti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |