Nenda kwa yaliyomo

Nacho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nacho Fernandez akiwa na timu yake ya taifa ya Hispania

Nacho José Ignacio Fernández (alizaliwa 18 Januari 1990), ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza klabu ya Real Madrid na timu yake ya taifa ya Hispania hasa kama kiungo wa kati lakini pia kama beki wa kulia na wa kushoto.

Nacho alishinda kikombe cha kwanza na kikosi cha Hispania mwaka 2013, na alikuwa sehemu ya kikosi katika Kombe la Dunia la FIFA 2018.

Nacho alizaliwa katika mji wa Madrid, Nacho aliwasili katika chuo cha vijana wa Real Madrid akiwa na umri wa miaka 11. Mnamo tarehe 23 Aprili 2011, Nacho aliifanya Real Madrid ishinde 6-3 dhidi ya Valencia FC akiwa beki wa kushoto.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nacho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.