Nenda kwa yaliyomo

NAACP Image Awards

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
NAACP Image Awards
Hutolewa kwa ajili yaKufanya vizuri katika filamu, televisheni, muziki, na fasihi kwa watu wa rangi mchanganyiko
Hutolewa naNAACP
NchiMarekani
Imeanza kutolewa mnamo1970
Tovuti rasmi

NAACP Image Awards ni tuzo zinatolewa kila mwaka na American National Association for the Advancement of Colored People kutukuza au kutuza kazi zilizofanywa vyema na watu wa rangi tofauti katika filamu, televisheni, muziki, na fasihi.

Sawa tu na tuzo nyingine, kama vile Oscars na Grammys, kundi au jamii zote 35 za Image Awards huchaguliwa na wanachama wa NAACP. Pia kuna tuzo za vyeo au heshima kwa mtu fulani, ikiwa pamoja na Tuzo ya Rais, Tuzo ya Mwenyekiti, Mburudishaji wa Mwaka na The Image Award Hall of Fame.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]