Nenda kwa yaliyomo

Mussa Bakari Mbarouk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mussa Bakari Mbarouk ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CUF. Amechaguliwa kuwa mwakilishi wa wananchi kwenye bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Alichaguliwa 2015 ikiwa ni mbunge wa kwanza kupitia upinzani kuongoza Tanga mjini tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mussa Bakari Mbarouk Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.