Murphy Akanji
Mandhari
Murphy Akanji (alizaliwa 1 Desemba 1977) ni mchezaji wa zamani wa kandanda wa Nigeria ambaye alicheza kama kipa.Akanji Alichezea zaidi klabu ya Sliema Wanderers katika Ligi ya Soka ya Malta kati ya mwaka 2001 na 2008, na aliwakilisha timu ya taifa ya Nigeria kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika mnamo mwaka 2000 na 2002.[1]
Ushiriki Katika Klabu
[hariri | hariri chanzo]Akanji alijiunga na Klabu ya Sliema Wanderers kutoka klabu ya Julius Berger mnamo Agosti 2001, na alitamani kupambana kwa haraka hadi klabu bora katika ligi muhimu zaidi ya Ulaya.
Ushiriki Kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Akanji alikuwa mlinda mlango wa kimataifa na ameiwakilisha Nigeria kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika.[2][3]
Heshima
[hariri | hariri chanzo]Julius Berger
- Ligi ya Soka Nigeria Professionalle: 2000
- Kombe la Super la Nigeria: 2000
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Akanji eyeing great finish", Times of Malta, 22 May 2003.
- ↑ "Four Birkirkara Players and coach win top football awards", The Malta Independent, 8 June 2006.
- ↑ "Bogdanovic secures double", Times of Malta, 10 June 2007.
Viungo Vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Murphy Akanji Katika MaltaFootball.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Murphy Akanji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |