Nenda kwa yaliyomo

Mukoko Tonombe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Serge Mukoko Tonombe
Maelezo binafsi
Tarehe ya kuzaliwa 6 Januari 1996 (1996-01-06) (umri 28)
Mahala pa kuzaliwa    Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Urefu 1.76 m (5 ft 9 12 in)
Nafasi anayochezea Kiungo Mkabaji
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa Yanga Sc
Namba 22
Klabu za vijana
Renaissance 2014-2018

AS Vita 2018-2020


Yanga Sc 2020-

Timu ya taifa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

* Magoli alioshinda


Serge Mukoko Tonombe (amezaliwa 6 Januari 1996) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya Yanga Sc ya Tanzania na timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mukoko Tonombe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.