Muhammed Amour Muhammed
Jump to navigation
Jump to search
Muhammed Amour Muhammed ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CUF. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Bumbwini kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
![]() |
Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |