Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Mtumiaji: capricorn94

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

CHAMA CHA SKAUTI ETHIOPIA[hariri | hariri chanzo]

Shirikisho la skauti Ethiopia ni shirikisho la kitaifa Ethiopia. Skauti ya Ethiopia ilianzishwa mwaka 1919 [1] na ikaanzishwa mashuleni jijini Addis Ababa mnamo mwaka 1934. [2]Ingawa shirikisho lililazimika kusitisha shughuli zake kutokana na vita ya pili vya italo - abyssinian mwaka 1935 - 1936. Skauti ilifunguliwa tena mwaka 1948. Ethiopia ilitambulika kama mwanachama na shirika la skauti duniani mwaka 1969.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Nyakati za nyuma wapiganaji wa Ethiopia walikuwa kama wanajeshi kwasababu hapakuwa na vyuo vya kijeshi. Lakini mwaka 1911 na kuendelea ilianzishwa chuo cha kijeshi na wanajeshi wote wakapata mafunzo yote ya kijeshi.

Mafunzo na maadili[hariri | hariri chanzo]

• Skauti ya Tadagi miaka 7 mpaka 11/12

• Skauti ya Madebegha miaka 11/12 mpaka 15/17

• Skauti ya wotat miaka 15/17 mpaka 18/19

• Skauti ya Awaki miaka 18/19 mpaka 25[3]

Nembo[hariri | hariri chanzo]

Beji zote za wanachama zina alama ya simba wa yuda kama ile inayoonekana kwenye bendera ya Ethiopia.

Vikosi vya kimataifa vya skauti nchini Ethiopia[hariri | hariri chanzo]

Pia kuna skauti ya vijana wa amerika jijini Addis Ababa yenye mahusiano na tawi la skauti ya vijana marekani ambalo huwa linasaidia vikosi vingine duniani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://en.m.wikipedia.org/wiki/Ethiopia_Scout_Association#cite_note-1
  2. https://en.m.wikipedia.org/wiki/Ethiopia_Scout_Association#cite_note-2
  3. https://en.m.wikipedia.org/wiki/Ethiopia_Scout_Association#cite_note-4