Mtumiaji:LeonaRIC LesaBIRD/Kujishusha(Njia ya Nidhamu)
Kujishusha ni njia ya nidhamu kiujumla inayokataza watoto kutoka nje ya nyumbani. Katika kipindi hiki, chochote kile chenye mtazamo chanya huchukuliwa na mambo mengine, kwa mfano lakini sio lazima kutumia maswala ya mitandaoni,kucheza michezo ya video, au kuangalia televisheni mara nyingi hupuuzwa.
Kujishusha hutumika kama njia mbadala ya nidhamu ya kujionesha mfano kupiga,kwa utunzwaji wa tabia nyumbani.[1][2] kutokana na marudio ya mwaka 2000 kwenye matokeo ya watoto " kujishusha imechukuliwa kama njia mbadala nzuri zaidi ya nidhamu kuliko kupiga kwa vijana."[1] Kujishusha inaweza kupelekea kurudi nyuma kama aina na muda wa makatazo ukiwa ni kwa kiasi kikubwa kwa maana ya kurekebisha tabia, au kama makatazo yatakuwa magumu kwa wazazi kuyatoa kutokana na upinzani.[3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 Ascan F. Koerner | Ascan (umn.edu)
- ↑ Wang, Ming-Te; Kenny, Sarah (2014-07-01). "Parental Physical Punishment and Adolescent Adjustment: Bidirectionality and the Moderation Effects of Child Ethnicity and Parental Warmth". Journal of Abnormal Child Psychology (kwa Kiingereza). 42 (5): 717–730. doi:10.1007/s10802-013-9827-8. ISSN 1573-2835.
- ↑ Teaching Time-Out and Job Card Grounding Procedures to Parents: A Primer for Family Counselors - Susan H. Eaves, Carl J. Sheperis, Tracy Blanchard, Laura Baylot, R. Anthony Doggett, 2005 (sagepub.com)
- ↑ Eaves, Susan H.; Sheperis, Carl J.; Blanchard, Tracy; Baylot, Laura; Doggett, R. Anthony (2005-07). "Teaching Time-Out and Job Card Grounding Procedures to Parents: A Primer for Family Counselors". The Family Journal (kwa Kiingereza). 13 (3): 252–258. doi:10.1177/1066480704273638. ISSN 1066-4807.
{{cite journal}}
: Check date values in:|date=
(help)