Mtumiaji:LeonaRIC LesaBIRD

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Naitwa Leonard Edward Maganga ni mzaliwa wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga nchini Tanzania. Ni mwanafunzi wa elimu ya chuo kikuu cha UDOM kilichopo Dodoma. Nimependa kujitolea katika uandishi wa makala kwa lugha ya kiswahili ili kuweza kusaidia jamii kiujumla.