Mtumiaji:Kipala/Alfagems 2021

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Editathon Alfagems Mei 2021[hariri | hariri chanzo]

++Matini ya mfano++

'''JinaKata''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya JinaWilaya]] katika [[Mkoa wa JinaMkoa]], [[Tanzania]], yenye [[msimbo wa posta]] namba '''11111 ''' <ref>[https://tcra.go.tz/services/publication-of-postcode-list Tanzania Postcode List]</ref> . Wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, idadi ya wakazi wa kata ilikadiriwa kuwa watu 22222 .<ref>[https://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/majimbo/MAJIMBOApril_Kisw.pdf Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016, Tanzania Bara], Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dar es Salaam April 2016, iliangaliwa Mei 2021</ref>

==Marejeo==

{{marejeo}}
{{Kata za Wilaya ya JinaWilaya}}

[[Jamii:Mkoa wa JinaMkoa]]

{{mbegu-jio-tanzania}}

[[Jamii:Wilaya ya JinaWilaya]]

++Mwisho ya mfano++

Itaonekana hivi:[hariri | hariri chanzo]

Ukwamani ni jina la kata ya Wilaya ya Gairo katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye msimbo wa posta namba 67715 [1] . Wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, idadi ya wakazi wa kata ilikadiriwa kuwa watu 7590.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tanzania Postcode List
  2. Makadirio ya Idadi ya Watu katika Majimbo ya Uchaguzi kwa Mwaka 2016, Tanzania Bara, Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dar es Salaam April 2016, iliangaliwa Mei 2021
Kata za Wilaya ya Gairo - Mkoa wa Morogoro - Tanzania

Chagongwe | Chakwale | Chanjale | Chigela | Gairo | Idibo | Italagwe | Iyogwe | Kibedya | Leshata | Madege | Magoweko | Mandege | Mkalama | Msingisi | Nongwe | Rubeho | Ukwamani


Zifuatazo zitaonekana chini kabisa kwa rangi ya buluu:

[[Jamii:Mkoa wa Morogoro]] [[Jamii:Wilaya ya Gairo]]

Kazi Yetu[hariri | hariri chanzo]

  • Fungua ukurasa Mtumiaji:Kipala/Kata
  • Chagua jina jekundu, ukikumbuka Wilaya na Mkoa
  • Bofya jina jekundu (dirisha jipya)
  • Utaona dirisha jipya
  • nakili matini ya mfano, mwaga katika ukurasa mpya
  • Badilisha maneno koze kwa majina / namba sahihi
    • Ulizia msimbo wa posta ni upi
  • Hifadhi yote
  • umwonyeshe jirano yako aangalie
  • Baadaye angalia kama jina la kata mpya lipo kwenye sanduku "Kata za Wialya ya XXX" au la.
  • Ukijiamini usahihishe [[Kigezo:Kata za Wilaya JINAWILAYA]]
  • Ukimaliza fanya alama ya X kwenye mstari wa mkoa husika katika orodha ya mikoa mezani.