Mtumiaji:Kandyzo/LigiKuuYaKenya
Ligi Kuu Ya Kenya
[hariri | hariri chanzo]
Ligi Kuu ya Kenya ni zamu ya juu kabisa wa Shirikisho la Soka la Kenya, ilianzishwa mwaka wa 1963.
Ligi Kuu ya Kenya ilikuwa imara sana mpaka mwisho wa mwongo wa 1990-1999 na tangu hapo haijawahi kuwa hata wastani. Vilabu katika ligi vina fedha chache tu ya kujisaidia wenyewe. Vilabu vyenye mafanikio zaidi katika ligi ni Gor Mahia na AFC Leopards huku vyote viwili vikiwa vimeshinda ligi mara 12.
Ligi ina mgawanyiko wake wa pili unaojulikana kama Nationwide League (NWL) (pia inajulikana kama Taifa Super League) na chini yake ni ligi ndogo za mikoa na wilaya.
Ligi Kuu ya Kenya - 2009
[hariri | hariri chanzo]Timu
Jina La Timu | Uwanja wa Nyumbani | Mji | Maelezo |
---|---|---|---|
AFC Leopards | Uwanja wa Nyayo | Nairobi | |
Agro-Chemical | Uwanja wa Muhoroni | Muhoroni | |
Bandari F.C. | Uwanja wa Manispaa ya Mombasa | Mombasa | |
Chemelil Sugar | Uwanja wa Michezo wa Chemelil | Chemelil | |
Gor Mahia | Uwanja wa Jiji la Nairobi | Nairobi | |
Kenya Commercial Bank | Uwanja wa Jiji la Nairobi | Nairobi | |
Mathare United | Uwanja wa Moi International Sports Centre | Nairobi | Washindi wa msimu wa 2008 |
Nairobi City Stars | Uwanja wa Hope Centre | Nairobi | Walibadili jina kutoka World Hope FC |
Red Berets F.C. | Uwanja wa Afraha | Nakuru | |
Sher Karuturi | Uwanja wa Naivasha | Naivasha | |
Sofapaka | Uwanja wa Nyayo | Nairobi | Walipandishwa kutoka ligi ya Nationwide |
Sony Sugar | Uwanja wa Green | Awendo | |
Thika United | Uwanja wa Manispaa ya Thika | Thika | |
Tusker FC | Uwanja wa Moi International Sports Centre | Nairobi | |
Ulinzi Stars | Uwanja wa Afraha | Nakuru | |
Western Stima | Uwanja wa Bukhungu | Kakamega |
Baadhi ya timu
[hariri | hariri chanzo]Matokeo ya Mwisho
[hariri | hariri chanzo]1 Sofapaka 30 16 11 3 39 21 18 59 2 Mathare United 30 15 8 7 39 23 16 53 3 Thika United 30 13 12 5 31 19 12 51 4 Tusker 30 14 6 10 47 30 17 48 5 Gor Mahia 30 15 1 14 39 33 6 46 6 City Stars 30 11 10 9 30 29 1 43 7 Sher Karuturi 30 9 13 8 19 17 2 40 8 Chemelil Sugar 30 10 10 10 28 28 0 40 9 SonySugar 30 11 7 12 29 31 -2 40 10 Ulinzi Stars 30 8 15 7 24 26 -2 39 11 Western Stima 30 8 12 10 29 28 1 36 12 KCB 30 8 10 12 32 39 -7 34 13 AFC Leopards 30 8 10 12 28 36 -8 34 14 Red Berets 30 7 9 14 28 43 -15 30 15 Bandari 30 7 8 15 25 41 -16 29 16 Agrochemicals 30 5 8 17 20 43 -23 23
Ligi katika msimu wa 2009 ilishindwa na Sofapaka katika msimu wao wa kwanza katika Ligi Kuu. Bandari na Agro-Chemicals walishushwa hadi ligi ya Nationwide [1].Nafasi zao zitachukuliwa na timu mbili zilizoongoza ligi ya Nationwide:(Mahakama na Posta Rangers) [2]
Tuzo
[hariri | hariri chanzo]Tuzo za mwisho wa msimu ilifanyika tarehe December 9, 2009Wachezaji bora wa Msimu wa 2009
- Mchezaji bora wa mwaka:John Baraza (Sofapaka)
- Aliyefunga mabao mengi: John Baraza (Sofapaka) & Joseph Emeka (Tusker)
- Mchezeji mpya bora wa mwaka: George Odhiambo (Gor Mahia)
- Mlinda lango wa mwaka: Wilson Oburu (Sofapaka)
- Difenda wa mwaka: Edgar Ochieng (Sofapaka)
- Mchezaji wa kati ya uwanja wa mwaka: Peter Opiyo (Gor Mahia)
- Kocha wa mwaka: Robert Matano (Sofapaka)
- Meneja wa timu wa mwaka: Benson Mutinda (Sofapaka).
- Mchezaji kwa haki wa mwaka: Dennis Okoth (Naibobi City Stars)
- Timu ichezayo kwa haki ya mwaka: Sony Sugar
- Tuzo Spesheli: Joe Kadenge
Walioshinda Ligi Kuu Awali
[hariri | hariri chanzo][3] [4]
* 1963: Nakuru All-Stars * 1964: Luo Union * 1965: Feisal FC * 1966: Abaluhya FC * 1967: Abaluhya FC * 1968: gör Mahia * 1969: Nakuru All-Stars * 1970: Abaluhya FC * 1972: Kenya Breweries * 1973: Abaluhya FC * 1974: Gör Mahia * 1975: Luo Union * 1976: Gör Mahia * 1977: Kenya Breweries * 1978: Kenya Breweries * 1979: Gör Mahia
[5]
* 1980: AFC Leopards * 1981: AFC Leopards * 1982: AFC Leopards * 1983: Gör Mahia * 1984: Gör Mahia * 1985: Gör Mahia * 1986: AFC Leopards * 1987: Gör Mahia * 1988: AFC Leopards * 1989: AFC Leopards * 1990: Gör Mahia * 1991: Gör Mahia * 1992: AFC Leopards * 1993: Gör Mahia * 1994: Kenya Breweries
[6]
* 1995: Gör Mahia * 1996: Kenya Breweries * 1997: Utalii
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Tovuti Kamili ya Ligi Kuu Habari ya Soka ya Kenya Kandanda Nchini Kenya Orodha ya Mabingwa
((FB kuanza)) ((CAF Ligi)) ((FB mwisho))