Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Jonny Frosty/Matumizi ya Kijeshi Mashuleni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Matumizi ya kijeshi mashuleni ni msamiati unaotumika kuashiria kazi mbalimbali za jeshi la taifa na jeshi la kijamii inayofanyika katika maeneo ya mashuleni,vyuoni na taasisi za kieleimu[1].Mfano wake ni kama vile kutumia shule au vyuo kama kambi kwa ajili ya kujihami na ulinzi,uhifadhi wa silaha,mafunzo ya wanajeshi na kama kituo cha uchunguzi.

Baraza la usalama la umoja wa mataifa limehamasisha wananchi kuchukua hatua kali dhidi ya matumizi ya kijeshi mashuleni.[2]

Kulingana na katibu mkuu wa umoja wa mataifa: "Matumizi ya kijeshi mashuleni zinaweaka watoto katika mazingira hatarishi ya kuvamia na kudhoofisha haki ya mtoto ya elimu.Matumizi ya kijeshi mashuleni yanapunguza usaili wa wanafunzi haswa kwa wasichana lakini pia inasababisha shule kuwa lengo la shambulizi.[3]

  1. http://www.protectingeducation.org/sites/default/files/documents/lessons_in_war.pdf
  2. "Resolution 2225". unscr.com. Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
  3. https://web.archive.org/web/20141129063353/http://daccess-dds-ny.un.org/doc/UNDOC/GEN/N13/311/67/PDF/N1331167.pdf?OpenElement