Mtumiaji:Habst/sanduku la mchanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Kiprono Cheruiyot
Robert Kiprono Cheruiyot katika 2010 Boston Marathon karibu pointi ya nusu Wellesley.
AmezaliwaBomet, Rift Valley Province, Kenya[1]
10 Agosti 1988 (1988-08-10) (umri 35)[1]
UtaifaMkenya
Kazi yakeRiadhaMbio ya Marathon

Robert Kiprono Cheruiyot (aliyezaliwa mwaka 1988) ni mkimbiaji wa Marathon Mkenya.[2] Cheruiyot alikuwa bingwa wa Marathoni ya Boston mwaka 2010, akiweka rekodi ya tariki.[3] Alikuwa ya tano katika Boston Marathon mwaka 2009.[4] Alishinda Marathoni ya Frankfurt mwaka 2008, akiweka rekodi ya tariki, na akikuwa ya pili katika Frankfurt Marathon mwaka 2009.[1][5]

References[hariri | hariri chanzo]